Msaada wa sheria dhidi ya haya mahusiano

Msaada wa sheria dhidi ya haya mahusiano

nyamboto1

Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
30
Reaction score
5
Ninandugu yangu mdada, amekuwa kwenye mahusiano na askari wabarabarani kwa muda wamiaka kumi sasa, hawakufunga ndoa lakini..
Ndugu yangu alikuwa naposition nzuri kifedha, alifanikiwa kusomesha ndugu wahuyo mwanaume, mwanaume mwenyewe pia alienda moshi kusoma, alinunua magari nakujenga nyumba pia, yoote aliyoyafanya documents aliandika jina lamwanaume... Naomba msaada washeria kama upo kwasababu Mwanaume kampiga almanusra kumuua, kamfukuza nahajaruhusu kuondoka hata nanguo zake...
 
Huyo ndugu yako wa kike kwamba alipewa limbwata au. Ingekuwa mwanaume kwa mwanamke ningeelewa.
 
Back
Top Bottom