kuna kesi za aina mbili criminal na civil sasa kwako wewe hapo unataka ipi? kwa utaratibu nenda kwanza polisi toa taarifa then ingia google.com/penal code tanzania ni cap 16 perusi humo..kama huyo mnyama kakudhuru wewe law of torts ni applicable..ambayo kimsingi ni case laws tupu, nafikiri kuna visection vinahusika huko daah nilisomaga zamani sana i hope hako ka mwanga katakusaidia..