Msaada wa sheria kwa nyumba iliyoungua moto

DITOPILE WAPILI

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
384
Reaction score
261
Habari zenu wadau:-

Kuna nyumba ya jamaa wangu, imeteketea kwa moto kutokana na hitilafu ya umeme, kutokana na ajali hiyo, nyumba na vitu vyote vimeteketea.

Je naweza kuanzisha kesi ya madai?

Naomba muongozo jinsi ya kuanzisha kesi ya madai kwa TANESCO.
 
Mteja anashauriwa kutoa taarifa ofisi ya TANESCO, uchunguzi ufmtafanyika kwa kushirikisha taasisi nyingine taarifa itatewa dhidi ya nini haswa ni chanzo cha moto hivyo kama ikidhibitika pasipo shaka kuwa ni TANESCO zipo taratibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…