Wakuu watalam wa sheria naombeni msaada nifanyeje kuna ndugu yangu kachafuliwa mtandaon kwenye blog flan sasa sijui nifate hatua zp maana hata email tcra hawajibu..

Jamani ayejua process za kufuata amsaidie huyo mwenzetu
Wakuu watalam wa sheria naombeni msaada nifanyeje kuna ndugu yangu kachafuliwa mtandaon kwenye blog flan sasa sijui nifate hatua zp maana hata email tcra hawajibu..
aende mahakan akashtaki kuwa amefanyiwa defametion aende mahakm ya mwanzo ya wilaya yake akaonyeshe kila ushahid ya kudhibitisha hilo sual lake
means akufungue kesi
ama ende polisi akafungue jalada