msaada wa sheria plz

msaada wa sheria plz

kithumn

Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
12
Reaction score
1
Nilikua na kesi ya madai mahakama ya mwanzo ,nilimshitaki msimamizi wa mirathi kwa kuuza kiwanja cha mirathi,ila yeye akamwambia hakimu kuwa alishafanya mgawanyo wakati sio kweli,akaambiwa apeleke inventory na mashaidi,ila akaamua kufile revision mahaka ya wilaya ya ilala,anacho kisema wilayani yeye alishafanya mgawanyo,inventory and other documents kapoteza.Mimi nimeiambia mahakama hajawai kutugawai urithi wetu.Je mahakama inaweza kumpa ushindi wa revision yake katika mazingira hayo?.ukweli ni kwamba hajawai kutupa urithi wetu na baba yetu alifariki mwaka 2007
 
Babu humu hamna wanasheria,watu wa humu wanapenda kushabikia mambo yanayo chochea vurugu na uvunjifu wa amani..labda kwa ushauri tu tafuta shilingi elfu kumi nenda kwenye law firm yoyote ya ukweli utapewa consultation
 
wanasheria tupo tena tuliobobea ila mara nyingi kabla ya ushauri huwa tunakuwa na intruction fee
 
Back
Top Bottom