Nilikua na kesi ya madai mahakama ya mwanzo ,nilimshitaki msimamizi wa mirathi kwa kuuza kiwanja cha mirathi,ila yeye akamwambia hakimu kuwa alishafanya mgawanyo wakati sio kweli,akaambiwa apeleke inventory na mashaidi,ila akaamua kufile revision mahaka ya wilaya ya ilala,anacho kisema wilayani yeye alishafanya mgawanyo,inventory and other documents kapoteza.Mimi nimeiambia mahakama hajawai kutugawai urithi wetu.Je mahakama inaweza kumpa ushindi wa revision yake katika mazingira hayo?.ukweli ni kwamba hajawai kutupa urithi wetu na baba yetu alifariki mwaka 2007