Na kwa hapo hakuna rufaa ila ni utahitajika kufungua kesi upya.
unamuuliza kama kashinda au kashindwa.!?si kasema anataka kukata rufaa,utakataje rufaa wakati umeshinda kesi.?Kesi umeshinda au umeshindwa, kwani yaweza kuwa umeshinda ila hujaridhika tuanzie hapo kwanza, mengine yatafuata