Msaada wa sheria, rufaa ya kesi ya madai

Msaada wa sheria, rufaa ya kesi ya madai

kaboko

Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
33
Reaction score
6
Naomba msaada; hukumu ya kesi yangu madai imetolewa jana. Je nifanye utaratibu gani wa kukata rufaa? Sijapata nakala ya hukumu ila hakimu alisema kuna siki 60 kama kuna yeyote anaka kukata rufaa.
 
humu hamna hata wa kukusaidia mkuu tafuta sh elfu kumi na tano uende kwenye law firm yoyote ukafanyiwe consultation humu utapata majibu ya kejeli kwanza ukizingatia ulichokiandika hakieleweki vizuri
 
Kesi umeshinda au umeshindwa, kwani yaweza kuwa umeshinda ila hujaridhika tuanzie hapo kwanza, mengine yatafuata
 
Inavyoelekea ni kwamba kesi yake imetupiliwa mbali kwa pingamizi la awali. Taf ainisha aina ya pingamizi walao usaidizi uanze kutafutwa.
 
Na kwa hapo hakuna rufaa ila ni utahitajika kufungua kesi upya.
 
Kesi umeshinda au umeshindwa, kwani yaweza kuwa umeshinda ila hujaridhika tuanzie hapo kwanza, mengine yatafuata
unamuuliza kama kashinda au kashindwa.!?si kasema anataka kukata rufaa,utakataje rufaa wakati umeshinda kesi.?
 
Kama unaweza kupata civil procedure,soma ukurasa wa 118,ua kama unaelewa soma order 34 rule 1 na kuendelea wameeleza procedures zote za ku appeal...utaandika memorundum of appeal.memo of appeal yako itakua acompanied na copy of decree,kwenye memo of appeal yako utaelezea sababu zako za kuappeal na unatakiwa ku ifile mahakamani within 60days.ni vizuri ungemtafuta wakili kwa msaada zaidi.
 
Ahsante angalau umenipa mwanga. Je ktk siku sitini bila shaka ni baada ya kupata nakala za hukumu. Je kabla ya kupata nakala za hukumu na decree. Je kuna hatua zozote natakiwa kufanya kisheria katka mahakama iliotoa hukumu?
 
waone bodi watakusaidia ndugu yangu but kizuri fuata utaratibu wa kumpata wakili then atakupa utaratibu wote wa rufaaa then all things will be ok.Hope u will do so and all the best.
 
Mkuu andika barua ya kuomba hukumu na kuomba hzo sixty dayz ziwe counted b'da ya ww kupewa hukumu lacvyo itakuwa imekula kwako mkuu, process zinazofata bda ya hapo inategemea ni rufaa kutoka mahakama gani kwenda mahakama gani
 
Back
Top Bottom