Msaada WA sheria tafadhali

NgugiAchebe

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
1,024
Reaction score
688
Nilifwatwa Na rafiki yangu niksaidie kumchukulia mkopo bank ya access sh ml 40 kwa sabbu mm ninamzunguko Nmb Na wale wana taka waone MTU mwenye mzunguko WA kibenk ndio wakupe mkopo
Wakatoa mkpo kwa dhamana ya rafiki yangu nyumba yake in nikampa Pesa zote mwenye dhamana ila bank wanatambua jina langu kopaji

Wifu nae akaniambia anataka mkopo WA kuimarisha biashara yake Na dhamana anataka nimpe mm sikua Na pingamizi nikamuekea dhamana yangu ya nyumba yangu wakatnipa sh ml 70 mkopo ule niliusimamia ukalipwa kwa mwaka 1 Na nusu kama mkataba ulivyosainia kati ya mchukuaji Na mdhamana. Na bank
Nilivyoomba dhamana yangu wakasema jina langi linamkopo bao haujalipwa Natalia niulipe mm nikashtika kumbe ni mkopo ule WA rafiki yangu alishindwa kurudisha wakataka kuuza nyumba take bila mm kujua akakimbilia mahakamani kujikinga nyumba isiuzwe mm nikawambia huu mkopo WA ml 70 unadhana yake Na umelipwa kwa hip wanipe dhamana yangu wakakataa nikawvia basis wanipeleke mahakamani kama wanaona nimewaibia
Sasa miezi kama 7 imepita wakiwa wameshikilia dhamana Hati ya nyumba yangu je wanaeza kuuza nyumba yangu Tafadhali wenye kujua sheria mnieleweshe
 
Mkuu Fanya kuedit tena post yako sijui kama watakuelewa.
 
Rekebisha uandishi wako.
 
 
Nimeshindwa kusoma andiko lako, ina maana ndio una stress kiasi cha kushindwa kuandika vizuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…