Msaada WA sheria tafadhali

Msaada WA sheria tafadhali

NgugiAchebe

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
1,024
Reaction score
688
Nilifwatwa Na rafiki yangu niksaidie kumchukulia mkopo bank ya access sh ml 40 kwa sabbu mm ninamzunguko Nmb Na wale wana taka waone MTU mwenye mzunguko WA kibenk ndio wakupe mkopo
Wakatoa mkpo kwa dhamana ya rafiki yangu nyumba yake in nikampa Pesa zote mwenye dhamana ila bank wanatambua jina langu kopaji

Wifu nae akaniambia anataka mkopo WA kuimarisha biashara yake Na dhamana anataka nimpe mm sikua Na pingamizi nikamuekea dhamana yangu ya nyumba yangu wakatnipa sh ml 70 mkopo ule niliusimamia ukalipwa kwa mwaka 1 Na nusu kama mkataba ulivyosainia kati ya mchukuaji Na mdhamana. Na bank
Nilivyoomba dhamana yangu wakasema jina langi linamkopo bao haujalipwa Natalia niulipe mm nikashtika kumbe ni mkopo ule WA rafiki yangu alishindwa kurudisha wakataka kuuza nyumba take bila mm kujua akakimbilia mahakamani kujikinga nyumba isiuzwe mm nikawambia huu mkopo WA ml 70 unadhana yake Na umelipwa kwa hip wanipe dhamana yangu wakakataa nikawvia basis wanipeleke mahakamani kama wanaona nimewaibia
Sasa miezi kama 7 imepita wakiwa wameshikilia dhamana Hati ya nyumba yangu je wanaeza kuuza nyumba yangu Tafadhali wenye kujua sheria mnieleweshe
 
Mkuu Fanya kuedit tena post yako sijui kama watakuelewa.
 
Rekebisha uandishi wako.
 
Nilifwatwa Na rafiki yangu nimsaidie kumchukulia mkopo bank ya access sh ml 40 kwa sabbu mm ninamzunguko wa kibank Nmb
Na bank wana taka waone MTU mwenye mzunguko ndio wakupe mkopo

Wakatoa mkopo kwa dhamana ya rafiki yangu alieomba nimchukulue kwa jina langu nikampa Pesa zote mwenye dhamana ila bank wanatambua jina langu kama mkopaji Na rafiki yangu ndio mdhamini

Hapo hapi tena nikamdhamini Mke wangu mkopo

Mke wangu nae akaniambia anataka mkopo WA kuimarisha biashara yake Na dhamana anataka nimpe mm sikua Na pingamizi nikamuekea dhamana yangu ya nyumba yangu wakatnipa sh ml 70 mkopo ule niliusimamia ukalipwa kwa mwaka 1 Na nusu kama mkataba ulivyosainia kati ya mchukuaji Na mdhamana. Na bank
Nilivyoomba dhamana yangu wakasema jina langi linamkopo bao haujalipwa Natalia niulipe mm nikashtika kumbe ni mkopo ule WA rafiki yangu alishindwa kurudisha wakataka kuuza nyumba take bila mm kujua akakimbilia mahakamani kujikinga nyumba isiuzwe mm nikawambia huu mkopo WA ml 70 unadhana yake Na umelipwa kwa hip wanipe dhamana yangu wakakataa nikawvia basis wanipeleke mahakamani kama wanaona nimewaibia
Sasa miezi kama 7 imepita wakiwa wameshikilia dhamana Hati ya nyumba yangu je wanaeza kuuza nyumba yangu Tafadhali wenye kujua sheria mnieleweshe
 
Nimeshindwa kusoma andiko lako, ina maana ndio una stress kiasi cha kushindwa kuandika vizuri?
 
Back
Top Bottom