nyilaegenge Senior Member Joined Apr 13, 2014 Posts 198 Reaction score 105 Jun 3, 2014 #1 Mimi ni mtumishi wa serikali ajira mpya, mpaka sasa sijapata mshahara na nilitumia acount ya CRDB,NMB wanasema wametuma pesa kwenda CRDB tangu tarehe 27.05. Je naweza kuwashtaki CRDB kwa kukaa na pesa zangu na anayejua nitafunguaje hii kesi?
Mimi ni mtumishi wa serikali ajira mpya, mpaka sasa sijapata mshahara na nilitumia acount ya CRDB,NMB wanasema wametuma pesa kwenda CRDB tangu tarehe 27.05. Je naweza kuwashtaki CRDB kwa kukaa na pesa zangu na anayejua nitafunguaje hii kesi?
nameless girl JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 4,195 Reaction score 2,678 Jun 3, 2014 #2 Nenda kwanza kafuatilie huko bank mkuu, angalia bank statement kabla hujakimbilia kushtaki. Unaweza kukuta kuna katatizo kadogo...
Nenda kwanza kafuatilie huko bank mkuu, angalia bank statement kabla hujakimbilia kushtaki. Unaweza kukuta kuna katatizo kadogo...