Msaada wa sheria tafadhali

Msaada wa sheria tafadhali

nyilaegenge

Senior Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
198
Reaction score
105
Mimi ni mtumishi wa serikali ajira mpya, mpaka sasa sijapata mshahara na nilitumia acount ya CRDB,NMB wanasema wametuma pesa kwenda CRDB tangu tarehe 27.05.

Je naweza kuwashtaki CRDB kwa kukaa na pesa zangu na anayejua nitafunguaje hii kesi?
 
Nenda kwanza kafuatilie huko bank mkuu, angalia bank statement kabla hujakimbilia kushtaki. Unaweza kukuta kuna katatizo kadogo...
 
Back
Top Bottom