Msaada wa sheria wadau tafadhari

Msaada wa sheria wadau tafadhari

mukama talemwa

Senior Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
160
Reaction score
29
Kuna rafiki yangu amefanya kazi kenye shirika miaka 28,mwajiri akaamua kumfukuza kazi,kitendo ambacho jamaa yangu hakuridhika nacho. Akaenda CMA ambao wametoa hukumu yao kwamba arudishwe kazini.Mwajiri akaamua kumuandikia kuwa asubiri atafute taratibu nyingine.Sasa imepita zaidi ya mwezi sasa jamaa haelewi afanyeje?Anaomba kujua taratibu gani sasa afuate ili apate haki yake.
 
suala lamfanyakazi kurejeshwa kazini kwa mujibu washeria ni kutekeleza amri ya CMA. hivyo anapaswa kuwasiliana na mwajiri wake juu ya utekelezwaji wa maamuzi halafu arudi CMA kuwafahamisha kutotekekezwa kwa amri na wao watachukua hatua. chiefkimweri
 
Back
Top Bottom