Nashukuru sana ndugu kwa kujali nitaendelea kusubiriPole sana mkuu nimejaribu kuatachi lile faili lakini limegoma, pia nimejaribu kulikopi bado linasumbua, may be next time
Asante mkuu kwa taarifa pc yangu haina pdf najaribu kuinstall ili nisome pia kama wadau hapo juu walivyonipa link. God bless wakuuEMPLOYMENT AND LABOUR RELATION ACTs sectn 4,ukisoma pamoja na sectn 61 ya Labour Inst Act zinajarbu kuchambua kwa kina mwajiriwa ni nan ksheria...uyo jamaa apo juu anaangukia kwenye A Typical contract of employment...cuz mikataba yao ya kaz inakua very flexibo thus hawapat izo terminatn benefts kama wale wengne..waloajriwa ful