wanajamvi tunaomba msaada. Kuna jamaa yangu anahisi kudhurumiwa kwani aliingia mkataba na kampuni fulani ya utafiti akapewa mkataba wa miezi sita akawaanalipwa mshahara na posho ya kuwa nje ya kituo maana kazi ilikuwa ya utafiti. Mshahara wake pia alikuwa akikatwa Nssf na mkataba ulipoisha ajalipwa kitu chochote zaidi ya kuambiwa ASANTE KWA KAZI NZURI! je ni sawa au alipaswa kulipwa termination beneft?
Msaada wandugu!
Msaada wandugu!