Msaada wa Sheria ya uraia

Msaada wa Sheria ya uraia

saidhafidh

Senior Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
119
Reaction score
8
Naomba msaad juu ya aina za uraia km zilivyo ainishwa katik(Tanzania Citizenship Act, No. 6 of
1995 and its Regulations of1997) maa nashindwa kumjua yupi mtanzania wa kuzaliwa kisheria na yup wa(by decent na yupi by Naturalization) kwasababu mm c mtaalam wa sheria. maan nna maswali meng ktik kipengele hich ila kwa kuanzia naomb ufafanuz juu ya aina hizo tatu asantan nategemea majibu mazur yatayosaidia kuniengezea ufanis ktk hilo.
 
Citizenship Act, 1995, imeainisha aina tatu za urai {i.e by birth,by naturalization,by decent}.
Tukianza na by birth,ni kwamba apa mtu anakua na sifa ya kuwa raia wa tanzania kwa kuzaliwa kwenye ardhi ya tanzania au kwenye vyombo mf. Meli,ndege yenye bendera ya tanzania.
Tukija by decent, hii ni sifa ya mtu kupata uraia pale ambapo amezaliwa nje ya nchi wakati mzazi wake mmoja ni mtanzania by birth. Hivyo anarithi ile hadhi ya utanzania kwa baba/mama yake. Ila akifikisha miaka 18 atatakiwa kukana uraia wa nchi mojawapo[kwa sheria ya sasa hakuna ruhusa ya kuwa na uraia pacha]
Na mwisho ni by naturalization. Hii ni rahisi. Ni pale mtu ambae si mtanzania anaomba uraia wa kuwa mtanzania.
 
asant zunya :jee
mtu aliezaliwa tanzania ila wazee wake wot c watanzania jee yeye atekua ktik kund ga..Jee mtu liezaliwa tanzania ila mzewak moj c mtanzani jee na huyu vip?. Na vip aliepat uraia kwa kuoa au kuolewa ndoa ikivunjik vip uraia wa huyo mtu utaendelea
 
Baba na Mama ni waganda lakini wanaishi Tanzania na wamenizalia Tanzania, je mm ni mtanzania wa kuzaliwa?
 
kisheria wewe ni mtanzania kwa kuzaliwa.lkn wacwe wapo kwa ukimbiz kifungo au hifadh maalum
 
Citizenship Act, 1995, imeainisha aina tatu za urai {i.e by birth,by naturalization,by decent}.
Tukianza na by birth,ni kwamba apa mtu anakua na sifa ya kuwa raia wa tanzania kwa kuzaliwa kwenye ardhi ya tanzania au kwenye vyombo mf. Meli,ndege yenye bendera ya tanzania.
Tukija by decent, hii ni sifa ya mtu kupata uraia pale ambapo amezaliwa nje ya nchi wakati mzazi wake mmoja ni mtanzania by birth. Hivyo anarithi ile hadhi ya utanzania kwa baba/mama yake. Ila akifikisha miaka 18 atatakiwa kukana uraia wa nchi mojawapo[kwa sheria ya sasa hakuna ruhusa ya kuwa na uraia pacha]
Na mwisho ni by naturalization. Hii ni rahisi. Ni pale mtu ambae si mtanzania anaomba uraia wa kuwa mtanzania.
Mkuu kuna vitu hujaweka sawa hivyo unaacha maswali mengi kwenye tafsiri yako
BY BIRTH ulitakiwa kuongeza nilazima wazazi wako wote wawili wawe watanzania
BY DECENT bila kujali umezaliwa wapi mmoja wa wazazi wako akiwa sio mtanzania na mmoja ni raia by birth basi wewe utakuwa by decent ukifikisha miaka 18 unachagua uraia mmoja
Ya mwisho naona upo sahihi
 
asant zunya :jee
mtu aliezaliwa tanzania ila wazee wake wot c watanzania jee yeye atekua ktik kund ga..Jee mtu liezaliwa tanzania ila mzewak moj c mtanzani jee na huyu vip?. Na vip aliepat uraia kwa kuoa au kuolewa ndoa ikivunjik vip uraia wa huyo mtu utaendelea

Moja, sio raia
Mbili, Anakua by decent akifika 18 yrs anaukana uraia mmojawapo
Tatu, Anaendelea kuwa mtanzania
 
kisheria wewe ni mtanzania kwa kuzaliwa.lkn wacwe wapo kwa ukimbiz kifungo au hifadh maalum

Anakua sio raia mkuu
Ili uwe raia wa kualiwa ni lazima wazazi wako wote wawili wawe watanzania na uzaliwe kwenye territory ya Tanzania hii ikimaanisha nchini, au ukiwa kibalozi au kwenye vyombo vya usafiri vilivyosajiliwa Tz
 
Sheria ikoje kuusu huyu alie olewa na mgeni na baadae ndoa ikavunjika, mama akaamua kurudi nchini Tz na wanae je, watoto ni raia wa wapi?
 
Msaada naomba kujua atua za kufanya baba ni mtanzania mama niraia wa kigeni nafanteje kuweza kukana urai wa mama
 
Back
Top Bottom