saidhafidh
Senior Member
- Apr 10, 2013
- 119
- 8
Mkuu kuna vitu hujaweka sawa hivyo unaacha maswali mengi kwenye tafsiri yakoCitizenship Act, 1995, imeainisha aina tatu za urai {i.e by birth,by naturalization,by decent}.
Tukianza na by birth,ni kwamba apa mtu anakua na sifa ya kuwa raia wa tanzania kwa kuzaliwa kwenye ardhi ya tanzania au kwenye vyombo mf. Meli,ndege yenye bendera ya tanzania.
Tukija by decent, hii ni sifa ya mtu kupata uraia pale ambapo amezaliwa nje ya nchi wakati mzazi wake mmoja ni mtanzania by birth. Hivyo anarithi ile hadhi ya utanzania kwa baba/mama yake. Ila akifikisha miaka 18 atatakiwa kukana uraia wa nchi mojawapo[kwa sheria ya sasa hakuna ruhusa ya kuwa na uraia pacha]
Na mwisho ni by naturalization. Hii ni rahisi. Ni pale mtu ambae si mtanzania anaomba uraia wa kuwa mtanzania.
Baba na Mama ni waganda lakini wanaishi Tanzania na wamenizalia Tanzania, je mm ni mtanzania wa kuzaliwa?
asant zunya :jee
mtu aliezaliwa tanzania ila wazee wake wot c watanzania jee yeye atekua ktik kund ga..Jee mtu liezaliwa tanzania ila mzewak moj c mtanzani jee na huyu vip?. Na vip aliepat uraia kwa kuoa au kuolewa ndoa ikivunjik vip uraia wa huyo mtu utaendelea
kisheria wewe ni mtanzania kwa kuzaliwa.lkn wacwe wapo kwa ukimbiz kifungo au hifadh maalum
Kuna sehemu umezinguliwa? Wewe ni mtanzania hayo mengine achana nayo.Msaada naomba kujua atua za kufanya baba ni mtanzania mama niraia wa kigeni nafanteje kuweza kukana urai wa mama