Msaada wa sheria za barabarani.

Msaada wa sheria za barabarani.

runyaga

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
523
Reaction score
241
Za jioni mawakili wasomi,
Naomba msaada wenu wa kupata soft copy ya sheria za barabarani make nahisi kuonewa sana na trafic barabarani.

Mpaka sasa hivi nimeandikiwa makosa manne ambayo bado sinayalipia ila yote nahisi nimeonewa, kwahiyo mwenye hiyo soft copy naomba msaada wake ili niipitie.
 
Back
Top Bottom