Msaada wa sheria za kazi

Msaada wa sheria za kazi

...chukulia kulikuwa hakuna maongezi yoyote tangu mkataba kuisha mwezi wa 4,..kwa maana hiyo alifanya kazi mwezi wa 5 bila maongezi wa mkataba ,..je-jicho la kisheria linasemaje kuhusu hapo.
...hebu mwanasheria tupe mtazamo mkuu
Sheria siku zote haina chenga chenga. Watu tunafanya mambo kwa mazoea. Pande mbili wote wana makosa. People they always don't care about the consequences.
1: mkataba kuisha let say hawakuongea chochote pande mbili na mwezi wa 5 akalipwa, it means mkataba ule in one way or another unaendelea.

2: huyu mwajiriwa lazima afatilie nini hatima yake baadae ya mkataka kuisha, ataendelea kama nani? Watu hatuwazagi yajayo mbele. Ndo maana kamsimamisha mwezi wa sita coz anajua may be hakuna maongezi baadae ya mkataba kuisha.

Mwisho, nilitegemea mleta Uzi aseme kama kulikuwepo na maongezi then nitoe ushauri afanyeje.
 
Nimekuelewa mkuu
 
Mleta post alieleza bayana kwamba baada ya mkataba kuisha hakuitwa na HR kwa maongezi wala kuambiwa chochote. Unajua tatizo la waajiri wengi huwa wanadhani kazi yao ni kuajiri na kufukuza watu kiholela wakati kila kitu huwa kina muongozo wake na utaratibu wake.
 
Sheria siku zote haina chenga chenga. Watu tunafanya mambo kwa mazoea. Pande mbili wote wana makosa. People they always don't care about the consequences.
1: mkataba kuisha let say hawakuongea chochote pande mbili na mwezi wa 5 akalipwa, it means mkataba ule in one way or another unaendelea.

2: huyu mwajiriwa lazima afatilie nini hatima yake baadae ya mkataka kuisha, ataendelea kama nani? Watu hatuwazagi yajayo mbele. Ndo maana kamsimamisha mwezi wa sita coz anajua may be hakuna maongezi baadae ya mkataba kuisha.

Mwisho, nilitegemea mleta Uzi aseme kama kulikuwepo na maongezi then nitoe ushauri afanyeje.
Mkataba unapokaribia kuisha majina huwa yanapelekwa HQ kwa ajili ya kuandaliwa mikataba mingine na meneja wa branch ndo anaidhinisha upewe mkataba au usipewe so wakati mkataba unakaribia kuisha branch manager alikuwa likizo ndo mana nikachelewa kusaini mkataba mwingine, aliporudi kazini kasema hanitaki ndo HR akasema kampuni haiwezi kuendelea na mm. By the way tayari nishafungua shauri pale CMA nasubiri taratibu nyingine.
 
....good.
....ninatamani sana kujua hili jambo limekaaje kisheria mkuu,..wanataluma ya sheria watatoa msimamo hapa
 
Walichokosea kwenye barua ya kuachishwa kazi wameandika tarehe 30/04/2018 wakati nimefanya kazi mwezi 5 mzima na mwezi wa 6 nimefanya kazi siku 7
 
...ngoja wanasheria waje kutudadavulia mkuu-let's wait
 
Back
Top Bottom