dagaa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 290
- 379
habari wapendwa
mimi nipo macho, mwanangu mida ya saa saba amepata homa kali sana nimempima akawa 39 nimempa dawa ya kushusha joto afadhari sasa nangoja asubuhi nimpeleke kwa dk koja kinondoni ni dk wa watoto
ila nimekuwa sielewi sheria ya likizo. mimi nimeajiliwa kampuni moja ya wahindi. kila unapotoa taarifa hauji kazini labda mtoto anaumwa au unadharula lazima ujaze leave card.... hata kama dada kakupigia simu kuna dharula nyunbani na unatokea kwa ofic lazima ujaze half day. kwa sheria za kazi kweli hii inaruhusiwa? na hr wetu ye hana say kwa wahindi kila kitu ni yes...
na nitashukuru endapo nitakopiwa kipengele hicho kinacho husu likizo za mfanyakazi..