Viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu na wenzao zaidi ya 50 wapo gereza ni Segerea Dar es salaam kwa zaidi ya miaka mitatu . Ni sheria ipi inatumika kuwaweka watanzania gerezani kwa zaidi ya miaka mitatu bila kuhukumiwa? Justice delayed is justice denied.
Justice Chande Othman this is a clear, visible instance of miscarriage of justice. Siyo la kufumbia macho hoping somehow litafifia. Halififii kamwe,Justice and truth.