simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu na wenzao zaidi ya 50 wapo gereza ni Segerea Dar es salaam kwa zaidi ya miaka mitatu . Ni sheria ipi inatumika kuwaweka watanzania gerezani kwa zaidi ya miaka mitatu bila kuhukumiwa? Justice delayed is justice denied.