MSAADA WA SHERIA

Kwani wewe ndio ulikuwa mdhamini wa jamaa?
 
Mmmh pole sana mkuu ..kama una uwezo tafuta mwanasheria akusaidie au tafuta namna ya kumsaidia mshikaji
 
waambie polisi wapeleke kesi mahakamani ikaamue sio kukutusha,polisi hawaamui kesi.
 
Maakamani si ndo watanifunga mimi kabisa au? Nielekeze
wewe aupo kwenye mkataba wao wanajuana wenyewe,yani apo wewe unawapa ushirikiano tuu labda kama unahusika moja kwa moja kwenye upotevu/mtuhuniwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…