MSAADA WA SHERIA

MSAADA WA SHERIA

HAPANA... WAKATI ANAOMBA KAZI KUNA WATU ALIWAANDIKA KAMA WADHAMINI WAKE SASA POLISI WAMEWATAFUTA KWA SIM WAMEWAKOSA WAMEAMUA KUNIFATA MIMI NINAE KAA NAE ILI NILIPE NA JAMAA KAWAELEKEZA KUA MM NI NDUGU YAKE WAKATI NI MSHIKAJI TU NILIKUA NA KAA NAE KWAIO POLISI WANATAKA NILIPE MIMI AU NA MM NIINGIE NDANI
Mmmh pole sana mkuu ..kama una uwezo tafuta mwanasheria akusaidie au tafuta namna ya kumsaidia mshikaji
 
waambie polisi wapeleke kesi mahakamani ikaamue sio kukutusha,polisi hawaamui kesi.
 
Maakamani si ndo watanifunga mimi kabisa au? Nielekeze
wewe aupo kwenye mkataba wao wanajuana wenyewe,yani apo wewe unawapa ushirikiano tuu labda kama unahusika moja kwa moja kwenye upotevu/mtuhuniwa.
 
Back
Top Bottom