Bin Chuma
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 313
- 244
Wandugu habari!
Naombeni msaada wa kisheria kuhusu muda wa mtuhumiwa kukaa mahabusu ya polisi. Kuna ndugu mmoja yupo kituo cha polisi tabata zaidi ya wiki sasa, ukiuliza kwa nini unaambiwa upelelezi haujakamilika, je ni sawa? Polisi wanatakiwa kukaa na mtuhumiwa kwa muda gani?