Msaada wa sheria

Bin Chuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
313
Reaction score
244
Wandugu habari!

Naombeni msaada wa kisheria kuhusu muda wa mtuhumiwa kukaa mahabusu ya polisi. Kuna ndugu mmoja yupo kituo cha polisi tabata zaidi ya wiki sasa, ukiuliza kwa nini unaambiwa upelelezi haujakamilika, je ni sawa? Polisi wanatakiwa kukaa na mtuhumiwa kwa muda gani?
 
Muda wa kukaa mahabusu kisheria ni masaa 24 ila Mkuu haujamsikia kangi siku ile akisema kama mtuhumiwa akikaa mahabusu na akatolewa nje kupunga upepo akiingizwa tena masaa yale yanahesabika upya .
 
Kama ni kesi ya mauaji au uhujumu uchumi madawa ya kulevya au kutaka kupindua Serikali inaweza kusababisha akae mahabusi kwa muda mrefu
 
Onana na mkuu wa kituo mweleze hilo.
 
Katenda au anatuhumiwa kwa makosa gani?
 
Muda wa kukaa mahabusu kisheria ni masaa 24 ila Mkuu haujamsikia kangi siku ile akisema kama mtuhumiwa akikaa mahabusu na akatolewa nje kupunga upepo akiingizwa tena masaa yale yanahesabika upya .
Da!! Hahahaaa ukipungwa upepo km mtihani huekisipai!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…