ISACK ASHERY
New Member
- Sep 2, 2011
- 1
- 0
Habari jaman wana jamii forum mimi mimi nina kesi yangu ambayo kuna mtu alini kopesha pesa zake baada ya hapo nikashindwa kumrudishia kulingana na muda tulio pangiana lakini jamaa akanipeleka mahakamani baada ya kufika mahakamani mimi sikukana shauri kwasabubu sikua na nia mbaya. Basi kesi ikasomwa hukumu ili nilipe pesa za watu basi baada ya kupangiwa siku ya kulipa. Nikaenda tafuta pesa sasa tatzo. Liko hivi nikawa nimechelewa siku moja kutoka ile tarehe ya mahakama kulipa pesa ya watu sasa naenda siku inayofuata nakuta jamaa kasha fungua kesi ya kukazia hukumu hapo sielewi nifanyeje ili ni weze kupita maana dhamira yangu sio mbaya ipa naona kama jamaa hana niazuri maana hata pesa nilio peleka tu aliikataa msaada wenu jman