HI.
naomba nisaidiwe katika hili,kuna haki gani anayotakiwa kupata mfanyakazi ambae amesitishiwa ajira yake eti kwasababu elimu aliyokuwa nayo haiendani na nafasi ya kazi aliyonayo kwa wakati huo,wakati alikuwa na sifa za nafasi hiyo wakati inatangazwa i.e (MINIMUM QUALIFICATION),naomba nisaidiwe jamani