Msaada wa shockup za starlet za ges

Msaada wa shockup za starlet za ges

linyaku

Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
56
Reaction score
26
Jaman nina gari yangu starlet nimekuwa nikinunua shockup mpya lakini hata siku 2 zishakufa sasa msaada na ushauri shockup nzuri kampuni zaid ya jumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman nina gari yangu starlet nimekuwa nikinunua shockup mpya lakini hata siku 2 zishakufa sasa msaada na ushauri shockup nzuri kampuni zaid ya jumbo

Sent using Jamii Forums mobile app

Kesho ninaenda kumuona fundi wangu nitakuulizia. Shock absorbers nilizoweka mimi zina mwaka sasa..
 
Back
Top Bottom