MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 4,099
- 7,466
Tafadhali wakuu kwa anefahamu shule ya advance comb ya CBG ya boarding ya ada chini ya milioni 2 kwani mdogo wangu anataka kuendelea na advance ana ufaulu wa merit, katka masomo yake ana D 1 tu ya civcs, iwe mkoa wowote.
Kwa hapo mwanza kuna uwezakano wakupata masomo ya jioni(evening class) kwa advance?
Kaka MWANZA ni kisima cha elimu
kwanza kuna mwalimu was physics a+level Tanzania nzima maarufu kama MWL.MICHAEL
PILI. **** mwalimu was biology a+level kanda ya ziwa maarufu kama MWL.TOGORAI
na mwisho kuna mwalimu wa chemistry kanda ya ziwa yote Maarufu ka MWL.YOTHAN
mlete MWANZA kijana wako apate elimu boraaaa
Nenda DON BOSCO-DIDIA SEC iko Shinyanga kwa combi za ART na CBG. Ada ni chini sana ya hiyo m2. Mcheki rector wa hiyo shule kwa namba hii 0686539622 kwa maelezo zaid.
Shule iko poa sana
Tafadhali wakuu kwa anefahamu shule ya advance comb ya CBG ya boarding ya ada chini ya milioni 2 kwani mdogo wangu anataka kuendelea na advance ana ufaulu wa merit, katka masomo yake ana D 1 tu ya civcs, iwe mkoa wowote.
jamani nahitaji mtu wa kunishugulikia uwamisho awe ni mzoefu nianze masomo shule tu zitakapofunguliwa combinataion PCM kutoka mabwe high school to kibaha au njombe secondary
Yule msemaji alisema hakuna uhamisho wowote utakaofanyika. Ka uko serious anza kufatilia mapema kwenye hzo shule unazotaka kwenda ka kuna nafasi.
Kaka MWANZA ni kisima cha elimu
kwanza kuna mwalimu was physics a+level Tanzania nzima maarufu kama MWL.MICHAEL
PILI. **** mwalimu was biology a+level kanda ya ziwa maarufu kama MWL.TOGORAI
na mwisho kuna mwalimu wa chemistry kanda ya ziwa yote Maarufu ka MWL.YOTHAN
mlete MWANZA kijana wako apate elimu boraaaa
tafadhali wakuu kwa anefahamu shule ya advance comb ya cbg ya boarding ya ada chini ya milioni 2 kwani mdogo wangu anataka kuendelea na advance ana ufaulu wa merit, katka masomo yake ana d 1 tu ya civcs, iwe mkoa wowote.