MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 4,099
- 7,466
Tafadhali wakuu kwa anefahamu shule ya advance comb ya CBG ya boarding ya ada chini ya milioni 2 kwani mdogo wangu anataka kuendelea na advance ana ufaulu wa merit, katka masomo yake ana D 1 tu ya civcs, iwe mkoa wowote.
Nenda DON BOSCO-DIDIA SEC iko Shinyanga kwa combi za ART na CBG. Ada ni chini sana ya hiyo m2. Mcheki rector wa hiyo shule kwa namba hii 0686539622 kwa maelezo zaid.
Shule iko poa sana