Dah umenikumbusha enzi zangu za kushika vifungu 😢😢Hii hapa.
Umesoma sheria na wwDah umenikumbusha enzi zangu za kushika vifungu 😢😢
Acha kabisa asikwambie mtu, staki nikumbuke mimi,Umesoma sheria na ww
Hufanyi practice kabisa umekimbia kuitwa Wakili msomi?Acha kabisa asikwambie mtu, staki nikumbuke mimi,
Hufanyi practice kabisa umekimbia kuitwa Wakili msomi?
ASANTE SANA RAFIKI, UBARIKIWE SANA NA BWANA YESU.Hii hapa.
STILL YOU CAN MAKE IT TO LAW SCHOOL! AU UKO MAHALI PAZURI HUNA HAJA YA KUHANGAIKA, WHEN WAS THAT BY THE WAYNilikuja kufanya uzembe mkubwa baada ya kumaliza chuo, sikuenda school of Law. Nikajiingiza kwenye mambo mengine tofauti na hiyo course 😢😢😢
Utashika vifungu vingapi na sheria maelfu? Uliweza? Great!Dah umenikumbusha enzi zangu za kushika vifungu 😢😢
Uzee ushagonga hodi I can't make itSTILL YOU CAN MAKE IT TO LAW SCHOOL! AU UKO MAHALI PAZURI HUNA HAJA YA KUHANGAIKA, WHEN WAS THAT BY THE WAY
Pole sana. Uliacha kitu cha msingi....nadhani katika vitu ambavyo nilijitahidi visikosekane kwenye familia yangu ni Mwanasheria , Wakili for that matter and MD! Thank God I have both of them from my woumb! Naona faida ya kuwa navyo. had it not been for my MD daughter, I would be dead from Corona! Nilishikika kweli kweli mwanzoni kabisa wakati Jiwe anavuruga watu. Mtoto wangu ndiye aliniokoa kuwa hospitali usiende fanya moja mbili tatu! it worked!Uzee ushagonga hodi I can't make it
Naomba mwenye Soft copy ya Law of marriage(matrimonial proceedings) Rules, 1971 anisaidie please. I am in dare need of it!
Ahsante sana mkuu tumefaidika wengiHii hapa.
Sharing is caring!Ahsante sana mkuu tumefaidika wengi
Safi sana ,ktk family yetu ya watoto 8 kila fani ipo kasoro ualimuPole sana. Uliacha kitu cha msingi....nadhani katika vitu ambavyo nilijitahidi visikosekane kwenye familia yangu ni Mwanasheria , Wakili for that matter and MD! Thank God I have both of them from my woumb! Naona faida ya kuwa navyo. had it not been for my MD daughter, I would be dead from Corona! Nilishikika kweli kweli mwanzoni kabisa wakati Jiwe anavuruga watu. Mtoto wangu ndiye aliniokoa kuwa hospitali usiende fanya moja mbili tatu! it worked!
Namshuru MUNGU pia katika familia ya watoto14 mama mmoja baba mmoja fani zooote zipo kasoro wizi na umalaySafi sana ,ktk family yetu ya watoto 8 kila fani ipo kasoro ualimu
VERY GOOD!Safi sana ,ktk family yetu ya watoto 8 kila fani ipo kasoro ualimu
RWANTANG , it is not a joke. Nona kama unatania.....Nilidhamiria kuwa na hao watu. Maana duniani ni mapambano na binadamu in most of our doings. Ukiwa na Wakili, polisi wanawaheshimu sana maana wanajua kuwa kuonewa Wakili msomi hatakubali. Ukiwa na daktari, anawapigia madaktari wenzake (pamoja na kuwa hawajuani) kuwa hyo ni Baba, mimi ni Dr Mwenzako, msaidie.... unahudumiwa.. Take it from me!Namshuru MUNGU pia katika familia ya watoto14 mama mmoja baba mmoja fani zooote zipo kasoro wizi na umalay
Kufuru kubwa,kwamba kama sio mtoto wako ungekufa? Inaonekana huyo mtoto wako ni mungu wako, ndiye anaamua ufe au uishi.Pole sana. Uliacha kitu cha msingi....nadhani katika vitu ambavyo nilijitahidi visikosekane kwenye familia yangu ni Mwanasheria , Wakili for that matter and MD! Thank God I have both of them from my woumb! Naona faida ya kuwa navyo. had it not been for my MD daughter, I would be dead from Corona! Nilishikika kweli kweli mwanzoni kabisa wakati Jiwe anavuruga watu. Mtoto wangu ndiye aliniokoa kuwa hospitali usiende fanya moja mbili tatu! it worked!