Msaada wa Soft copy ya Rules za proceedings za marriage act.

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Naomba mwenye Soft copy ya Law of marriage(matrimonial proceedings) Rules, 1971 anisaidie please. I am in dare need of it!
 
Nilikuja kufanya uzembe mkubwa baada ya kumaliza chuo, sikuenda school of Law. Nikajiingiza kwenye mambo mengine tofauti na hiyo course 😢😢😢
Hufanyi practice kabisa umekimbia kuitwa Wakili msomi?
 
Nilikuja kufanya uzembe mkubwa baada ya kumaliza chuo, sikuenda school of Law. Nikajiingiza kwenye mambo mengine tofauti na hiyo course 😢😢😢
STILL YOU CAN MAKE IT TO LAW SCHOOL! AU UKO MAHALI PAZURI HUNA HAJA YA KUHANGAIKA, WHEN WAS THAT BY THE WAY
 
Uzee ushagonga hodi I can't make it
Pole sana. Uliacha kitu cha msingi....nadhani katika vitu ambavyo nilijitahidi visikosekane kwenye familia yangu ni Mwanasheria , Wakili for that matter and MD! Thank God I have both of them from my woumb! Naona faida ya kuwa navyo. had it not been for my MD daughter, I would be dead from Corona! Nilishikika kweli kweli mwanzoni kabisa wakati Jiwe anavuruga watu. Mtoto wangu ndiye aliniokoa kuwa hospitali usiende fanya moja mbili tatu! it worked!
 
Safi sana ,ktk family yetu ya watoto 8 kila fani ipo kasoro ualimu
 
Namshuru MUNGU pia katika familia ya watoto14 mama mmoja baba mmoja fani zooote zipo kasoro wizi na umalay
RWANTANG , it is not a joke. Nona kama unatania.....Nilidhamiria kuwa na hao watu. Maana duniani ni mapambano na binadamu in most of our doings. Ukiwa na Wakili, polisi wanawaheshimu sana maana wanajua kuwa kuonewa Wakili msomi hatakubali. Ukiwa na daktari, anawapigia madaktari wenzake (pamoja na kuwa hawajuani) kuwa hyo ni Baba, mimi ni Dr Mwenzako, msaidie.... unahudumiwa.. Take it from me!
 
Pole sana. Uliacha kitu cha msingi....nadhani katika vitu ambavyo nilijitahidi visikosekane kwenye familia yangu ni Mwanasheria , Wakili for that matter and MD! Thank God I have both of them from my woumb! Naona faida ya kuwa navyo. had it not been for my MD daughter, I would be dead from Corona! Nilishikika kweli kweli mwanzoni kabisa wakati Jiwe anavuruga watu. Mtoto wangu ndiye aliniokoa kuwa hospitali usiende fanya moja mbili tatu! it worked!
Kufuru kubwa,kwamba kama sio mtoto wako ungekufa? Inaonekana huyo mtoto wako ni mungu wako, ndiye anaamua ufe au uishi.
 
Back
Top Bottom