unyakudongo
Member
- Apr 8, 2014
- 64
- 44
Hahahaaaa, we bwana hebu kuwa muwazi kama wahitaji msaada. Title inahusiana na maswala ya BRN, maelezo mazuri; lakini hiyo sio title!! Jaribu kueleza nini hasa title au wataka kufanya. Sometimes sio lazima literature utakayocite iandikwe BRN. BRN ni wimbo tu ambao wajanja waliamua kuuimba; kwa kujua unachotaka kufanya watu wanaweza kukusaidia "nyimbo" nyingine zilizoimbwa nchi nyingine ukazifanyia case referencing!
Sio lazma upate the exactly concept bna,unaweza hta kutft ktu ambacho kina mlengo saw na hio,na kusem ati ni wazo jipya not true wee ingia net utapat kila kitu..sawa mkuu!
title yako ya research inasemaje, ukishindwa kwenye literature review hutaweza kuadentify information gap ya research yako, weka title yako full watu wa angalie jinsi ya kuweza kukusaidia km itawezekana,pia mda bdo unaweza ukachange title
hichi kipengele cha research design hakiitwi hivyo kiongozi,research design ni aina ya research unayotaka kuifanya inaweza kuwa cross sectional research design au case study research design na nyingine nying, qualitative na quantitative hiyo inahusiana na aina ya research kama unataka iwe na maswali ya open ended au closed ended question au ya aina zote mbili,ambapo ukija katika result utapata result za aina mbili za mahesabu au za qualitative ambazo utatumia content analysis kuanalyse data zake, kwa ishu yake haijalishi iwe quantitative au qualitative lazima atafute literature reviewResearch desing yako ni qualitative au quantitative? Kama ni Quantitative tafuta related concept ya BRN maana hutoweza kupata literature zilzoioperationalize BRN as a construct kwa conceptualization iliyopo tanzania.
mimi ukifika wakati wa data analysis nitafute kwa namba hizi 0754 660061 0r 0786 660061 au email vicentvicent31@gmail.com,uwe unahitaji model au analysis ya aina yeyote ile, huduma ipo wewe tuuSawa sawa wakuu nimewaelewa nitaomba msaada wenu soon naileta title yangu
mimi ukifika wakati wa data analysis nitafute kwa namba hizi 0754 660061 0r 0786 660061 au email vicentvicent31@gmail.com,uwe unahitaji model au analysis ya aina yeyote ile, huduma ipo wewe tuu