Msaada wa sources kwa ajili ya literature review

Msaada wa sources kwa ajili ya literature review

unyakudongo

Member
Joined
Apr 8, 2014
Posts
64
Reaction score
44
Nimepewa title inayohusiana na masuala ya Big Results Now.lakini cjui wapi nitapata secondary source kwa urahisi maana ni kitu kipya.naomba msaada kwa anayejua mahali nitazipata kiurahisi au hata msaada wa majina ya papers na vitabu pamoja na waandishi
 
Hahahaaaa, we bwana hebu kuwa muwazi kama wahitaji msaada. Title inahusiana na maswala ya BRN, maelezo mazuri; lakini hiyo sio title!! Jaribu kueleza nini hasa title au wataka kufanya. Sometimes sio lazima literature utakayocite iandikwe BRN. BRN ni wimbo tu ambao wajanja waliamua kuuimba; kwa kujua unachotaka kufanya watu wanaweza kukusaidia "nyimbo" nyingine zilizoimbwa nchi nyingine ukazifanyia case referencing!
 
Sio lazma upate the exactly concept bna,unaweza hta kutft ktu ambacho kina mlengo saw na hio,na kusem ati ni wazo jipya not true wee ingia net utapat kila kitu..sawa mkuu!
 
title yako ya research inasemaje, ukishindwa kwenye literature review hutaweza kuadentify information gap ya research yako, weka title yako full watu wa angalie jinsi ya kuweza kukusaidia km itawezekana,pia mda bdo unaweza ukachange title
 
Sawa sawa wakuu nimewaelewa nitaomba msaada wenu soon naileta title yangu
 
Title yangu ni TEACHERS ATTITUDE TOWARDS BIG RESULTS NOW.
 
Research desing yako ni qualitative au quantitative? Kama ni Quantitative tafuta related concept ya BRN maana hutoweza kupata literature zilzoioperationalize BRN as a construct kwa conceptualization iliyopo tanzania.
 
Inabidi uingie emerald au jstor kwa maeneo ya chuo u download vi article vinavo.relate na mambo ya teachers attitude hivo vinakuletea vitu mbali mbali sasa wewe kila article unachukua aim of the study research methodology na findings na conclusion kuvipata exactly vya Tanzania ni ngumu inabidi uanzie na global perspective Africa and then Tanzania ili kupata gap
 
Research desing yako ni qualitative au quantitative? Kama ni Quantitative tafuta related concept ya BRN maana hutoweza kupata literature zilzoioperationalize BRN as a construct kwa conceptualization iliyopo tanzania.
hichi kipengele cha research design hakiitwi hivyo kiongozi,research design ni aina ya research unayotaka kuifanya inaweza kuwa cross sectional research design au case study research design na nyingine nying, qualitative na quantitative hiyo inahusiana na aina ya research kama unataka iwe na maswali ya open ended au closed ended question au ya aina zote mbili,ambapo ukija katika result utapata result za aina mbili za mahesabu au za qualitative ambazo utatumia content analysis kuanalyse data zake, kwa ishu yake haijalishi iwe quantitative au qualitative lazima atafute literature review
 
Back
Top Bottom