Sabayi
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 2,310
- 999
Habari wakuu
Nataka kuagiza roofing tiles china kwa ajili ya roofing nimepata supplier ila ameniambia nimpe specifications zote ili aweze kuniuzia roofing tiles kutokana na quality ninayotaka sasa mimi sina ujuzi wa hii mambo anayejua specifications za roofing tiles nzuri ambazo hazipauki na ni imara naomba anisaidie