Msaada wa Swali hili la Companies Law

Msaada wa Swali hili la Companies Law

TODO

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
219
Reaction score
62
Wanaforum tafadhali mwenye ujuzi na hii sheria anisaidie hili swali hapa chini.please.

John and Steve formed a private company in the early January 2013. Unfortunately ‘John' was involved in a serious car accident and sustained serious injuries in the head. As a result of such injuries he sometimes loses memory and sometimes becomes insane.

He cannot engage into serious discussions with his partner ‘Steve' because of his mental and health condition. He is always in bed owing to doctors' recommendations.

By using both the Companies Act No 12 of 2002 and the Business Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 2011 answer the following alternative situations:
i) Can ‘Steve' proceed alone with the company's affairs? Justify your answer with authoritiesii) Suppose ‘John' died in the accident, what would be the proper way(s) that ‘Steve' could use to handle the company's affairs?
 
Kindly do the needful! It is purely your homework. Respect the University education especially LL.B. young brother/sister!
 
yaani unataka ujibiwe humu kisha ukakusanye tu hiyo assignment. Vitabu vya company's act na business law vipo library na hata online. Tena kama companys act wamekuwekea pembeni sidenotes za kila jambo kuu unalolitafuta.Ni wewe tu ku analyse na ku connect dotes kulingana na swali uliloulizwa.Wenzenu wakati tunapita humo tulikua tunasoma vitabu mpaka unahisi macho yanataka kudondokea kitabuni.Someni vitabu vijana msipende kuteleza tu na ganda la ndizi
 
Hii ndo Shida ya ngozi nyeusi.kupata mawazo yako haimanishi ndo na chukua hayo hayo Bali nachuja na kuunganisha point kadhaa kisha na kupata wazo moja.

Basi kwa Kuwa ww umeteseka kusoma basi unataka wote tupitie njia hyo hyo.

Ngoja waje Wenzio wanipe nondo Baki na roho mbaya yako
 
kwa uelewa wangu mdogo wa Business law idea yake itakuwa kama hivi ambapo unatakiwa sasa kuelezea kwa mapana

Altenative 1. Article of Association na MoU inasemaje maana lazima maelekezo yawepo ndani ya hizo document just in case
Altenative 2. Hao jamaa ni shareholders na sio management kama ndivyo basi management itaendelea kama kawaida au namba moja itaapply kutoa muongozo.
Altenative 3. katika hali ya insanity au death huyo aliyekuwa cleared kuwa dead au insane, namba moja ita-apply
general rule: mtu akishakuwa insane hatakuwa na say katika kutekeleza majukumu ya kampuni ila kimsingi Board of directors ambayo ndio inaajiri management itahusika na hilo kwa hiyo kinachofanya kazi ni management na sio directors katika utendaje, kwa hiyo kampuni itaendelea kama kawaida ila kama MoU/AoA zitaelekeza vipi hasa Qurom, then lazima iwe observed.
 
Mkuu asante kwa mawazo yako.nayafanyia kazi
 
Back
Top Bottom