Msaada wa taarifa za kusajili gari ya Biashara

Msaada wa taarifa za kusajili gari ya Biashara

Joined
Feb 24, 2015
Posts
9
Reaction score
14
Wadau nataka kubadili matumizi ya ka-IST kangu kawe cha biashara, angalau kanisaidie kupunguza ugumu wa maisha.

Naomba mnisaidie taratibu nazo takiwa kizifuata katika kufanikisha hili katika maeneo yafuatayo:

a) Gharama za kubadili kadi ya gari

b) Ni kituo gani cha polisi wanafanya ukaguzi wa gari na gharama zake

e) Jinsi ya kujisajili LATRA na gharama zake.

e) Mengineyo ya kuzingatia kama yapo

Natanguliza Shukrani[emoji120]
 
Back
Top Bottom