Msaada wa taasisi mbalimbali zinazotoa misaada

olekamaru

Member
Joined
Jun 23, 2017
Posts
78
Reaction score
74
Wadau habari.mm ni mwenyekiti WA kitongoji aliyeshinda juzi kwenye Uchaguzi WA serikali za mitaa.

Naombeni wadau mnielekeze taadisi mbali mbali za ndani na nje ya nchi ambao wanatoa misaada mbalimbali kwenye jamii mfano watoto yatima,walemavu,wazeee,elimu ya ujasiriamali na vinginevyo.asane
 
Ulishinda baada ya wagombea wa CHADEMA kukatwa?
 
Wadau habari.mm ni mwenyekiti WA kitongoji aliyeshinda juzi kwenye Uchaguzi WA serikali za mitaa.

Naombeni wadau mnielekeze taadisi mbali mbali za ndani na nje ya nchi ambao wanatoa misaada mbalimbali kwenye jamii mfano watoto yatima,walemavu,wazeee,elimu ya ujasiriamali na vinginevyo.asane
Zipo nyingi sana, angalia kwenye wavuti wa wizara ya gwajima kuna listi kabisa. Although misaada inaombwa kwa specific reasonable demand. Kama kuna wanawake unaweza kuomba women empowerment hasa kwenye uchumi. Ukaunda vikundi katika jamii yako vya kina mama ukawatafutia sponsa wa mradi wa kuwezeshwa kiuchumi

Kama watoto unaangalia ni wahanga wa nn hasa, kama ni afya au lah, kwa vijana pia unaangalia wanahangaika na ajira wewe unapendekeza misaada ya mitaji kwa makundi ya vijana. So mashirikia ni mengi hata CDC Tanzania wanakupa bika shida
 
Wadau habari.mm ni mwenyekiti WA kitongoji aliyeshinda juzi kwenye Uchaguzi WA serikali za mitaa.

Naombeni wadau mnielekeze taadisi mbali mbali za ndani na nje ya nchi ambao wanatoa misaada mbalimbali kwenye jamii mfano watoto yatima,walemavu,wazeee,elimu ya ujasiriamali na vinginevyo.asane
"NO FREE LUNCH SOMEONE MUST PAY"
 
Tlaatlaah , Lucas Mwashambwa ChoiceVariable njooni tumsaidie ndgu yetu kujenga nchi.

#maendeleo hayana chama.
aandike andiko,
kopi kwa kina, nakala aiche ofisi ya serikali ya kijiji, nakala nyingine kwa mtendaji wa kijiji na kata, nakala nyingine kwa mkurugenzi mtendaji wa wilaya, mkuu wa wilaya na mwenyekiti wa hamashauri ya wilaya husika.

Na kwa umuhimu wa kipekee,
mpango na dhamira yake hiyo njema, asisite kupeleka andiko lake kwenye taasisi zote za dini katika wilaya yake maana hao pia ni wadau muhimu sana wa maendeleo maeneo mbalimbali nchini.

Hata hivyo,
zile NGO's zote katika wilaya yake ambazo anazoweza kuzifikia nazo vile vile anaweza kuwashirikisha andiko lake bila kusita , kwasabb hao ndio haswa wadau wa maendeleo nchi.

Na,
kwa Neema na Baraka za Mungu Kiongozi huyo wa wananchi atakua ametekeleza wajibu wake vizuri, na bila shaka wahusika wote alowashirikisha watalazimika kwa namna moja ama nyingine kufanya jambo 🐒
 
Back
Top Bottom