Ulishinda baada ya wagombea wa CHADEMA kukatwa?Wadau habari.mm ni mwenyekiti WA kitongoji aliyeshinda juzi kwenye Uchaguzi WA serikali za mitaa.
Naombeni wadau mnielekeze taadisi mbali mbali za ndani na nje ya nchi ambao wanatoa misaada mbalimbali kwenye jamii mfano watoto yatima,walemavu,wazeee,elimu ya ujasiriamali na vinginevyo.asane
Zipo nyingi sana, angalia kwenye wavuti wa wizara ya gwajima kuna listi kabisa. Although misaada inaombwa kwa specific reasonable demand. Kama kuna wanawake unaweza kuomba women empowerment hasa kwenye uchumi. Ukaunda vikundi katika jamii yako vya kina mama ukawatafutia sponsa wa mradi wa kuwezeshwa kiuchumiWadau habari.mm ni mwenyekiti WA kitongoji aliyeshinda juzi kwenye Uchaguzi WA serikali za mitaa.
Naombeni wadau mnielekeze taadisi mbali mbali za ndani na nje ya nchi ambao wanatoa misaada mbalimbali kwenye jamii mfano watoto yatima,walemavu,wazeee,elimu ya ujasiriamali na vinginevyo.asane
"NO FREE LUNCH SOMEONE MUST PAY"Wadau habari.mm ni mwenyekiti WA kitongoji aliyeshinda juzi kwenye Uchaguzi WA serikali za mitaa.
Naombeni wadau mnielekeze taadisi mbali mbali za ndani na nje ya nchi ambao wanatoa misaada mbalimbali kwenye jamii mfano watoto yatima,walemavu,wazeee,elimu ya ujasiriamali na vinginevyo.asane
Hapana.nilishinda kupitia tiketi ya chadema
aandike andiko,Tlaatlaah , Lucas Mwashambwa ChoiceVariable njooni tumsaidie ndgu yetu kujenga nchi.
#maendeleo hayana chama.