Msaada wa tabia za wanawake wa Kinyarwanda na Kinyantuzu kabla zijaingia kichwa kichwa

Msaada wa tabia za wanawake wa Kinyarwanda na Kinyantuzu kabla zijaingia kichwa kichwa

A HUMBLE LEADER

Senior Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
138
Reaction score
343
Naomba tuelewe mada na tuje na majibu serious, kuna maamuzi magumu nataka kuchukua kwa mara nyingine tena.

Huyu nilienae nataka nimuweke dormant asije niua huko mbeleni, kuna dalili sio nzuri!

Mwenye kuwajua hao anitonye.

Natanguliza shukrani!
 
Mpaka hapa haujafikia muda wa kuoa, unataka uone kwa kusikia ushauri wa watu. Mtu umekutana nae umemuona mwenyewe alafu unataka kutuuliza tabia zake.

Mtu mmoja awe na tabia ya watu zaidi ya milioni wa kabila au jamii yake, wakati wewe mwenyewe huna tabia kama za baba yako wala mama yako hana tabia kama za mama mkubwa wako wala binti zake
 
Mpaka hapa haujafikia muda wa kuoa, unataka uone kwa kusikia ushauri wa watu. Mtu umekutana nae umemuona mwenyewe alafu unataka kutuuliza tabia zake. Mtu mmoja awe na tabia ya watu zaidi ya milioni wa kabila au jamii yake, wakati wewe mwenyewe huna tabia kama za baba yako wala mama yako hana tabia kaka za mama mkubwa wako wala binti zake
Kuna tabia general ambazo zipo KWA makabila!!

Niliingia kichwa kichwa KWA mtu wa kusini ndio maana nataka nijue hilo ABC's !sio mbaya kwani!!
 
Naomba tuelewe mada na tuje na majibu serious, kuna maamuzi magumu nataka kuchukua kwa mara nyingine tena.

Huyu nilienae nataka nimuweke dormant asije niua huko mbeleni, kuna dalili sio nzuri!

Mwenye kuwajua hao anitonye.

Natanguliza shukrani!

Chagua mwenye mkia hutajutia, tabia zao ni kama wanawake wengine tu.
 
Kwenye haya mambo ya ndoa kupambana nayo ndani ya ndoa utaishia kuua tu au jela aisee
Acha jamaa avute goma usimtishe.

Maisha ni haya haya nipo Kariakoo hapa kuna ndoa ya waarabu wameowana mtoto wa baba mkubwa baba mdogo na wameachana juzi itakuwa hao wasiojuana damu?fumbo la ndoa hutenguliwa na wanandoa wenyewe siyo ushauri wa mtu yeyote,unakuta wasiojuana wanakaa maisha wanaojuana miaka mitatu hawafikishi.
 
Hilo jina lako limenikumbusha jina la member wa siku nyingi humu akijulikana kwa Humble African sijui alipoteleaga wapi huyu mtu na madini yake
Humble African alikuwa mtu saana kwenye madini. Sijui ameishia wapi yule bwana... nna muda simuoni.
 
Back
Top Bottom