A HUMBLE LEADER
Senior Member
- Sep 21, 2022
- 138
- 343
Kuna tabia general ambazo zipo KWA makabila!!Mpaka hapa haujafikia muda wa kuoa, unataka uone kwa kusikia ushauri wa watu. Mtu umekutana nae umemuona mwenyewe alafu unataka kutuuliza tabia zake. Mtu mmoja awe na tabia ya watu zaidi ya milioni wa kabila au jamii yake, wakati wewe mwenyewe huna tabia kama za baba yako wala mama yako hana tabia kaka za mama mkubwa wako wala binti zake
Kwenye haya mambo ya ndoa kupambana nayo ndani ya ndoa utaishia kuua tu au jela aiseeWe oa tu,mengine utapambana nayo ndani ya ndoa,kama ni mimi ningechukua mnyantuzu
Naomba tuelewe mada na tuje na majibu serious, kuna maamuzi magumu nataka kuchukua kwa mara nyingine tena.
Huyu nilienae nataka nimuweke dormant asije niua huko mbeleni, kuna dalili sio nzuri!
Mwenye kuwajua hao anitonye.
Natanguliza shukrani!
Acha jamaa avute goma usimtishe.Kwenye haya mambo ya ndoa kupambana nayo ndani ya ndoa utaishia kuua tu au jela aisee
Humble African alikuwa mtu saana kwenye madini. Sijui ameishia wapi yule bwana... nna muda simuoni.Hilo jina lako limenikumbusha jina la member wa siku nyingi humu akijulikana kwa Humble African sijui alipoteleaga wapi huyu mtu na madini yake
Nilimuona Uzi frani anataka kupata experience ya kifoHumble African alikuwa mtu saana kwenye madini. Sijui ameishia wapi yule bwana... nna muda simuoni.
Khee! Umefika huko?Nilimuona Uzi frani anataka kupata experience ya kifo
Sasa hapo siwezi jua