Usinifokee
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,502
- 3,525
Okay'
Pole kwa changamoto...
Nafikiri mpeleka idara ya mifupa ili ujue ni kiasi gani hivyo vidonda vimeathiri sehemu hiyo, hasa sehemu inayohusisha mifupa....
Hawa ndugu' zetu wanahitaji uangalizi mkubwa sana hasa
1. Kwenye matumizi sahihi ya dawa (regularly)
2. Upimaji wa sukari hasa mara kwa mara kwa kipindi angalau Kila baada ya siku mbili
3. Uoshwaji na usafishaji wa vidonda under sterility
Mungu ni mwema atamponya kwenye changamoto alizo nazo