Usinifokee
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,502
- 3,525
Kisukari aina ya kwanzaAna sukari type 1 au 2?
Hiki mpka matibabu hospitali, ingekua type 2 ngetoa maini yangu.Kisukari aina ya kwanza
Jamii
Tatizo la sukari kwa ndugu yangu, liko sawa kwa sasa; ila VIDONDA ndio changamoto kubwa kwake kupona.
Wakuu ! Bado nipo hapa kupokea msaada wa ushauri na maoni, kwa ajili yetu ya ndugu yangu na kwa faida wengine wanaopita hapa inaweza fursa kwao JF Member
AsanteHiki mpka matibabu hospitali, ingekua type 2 ngetoa maini yangu.
1. Asante sana Mwl.RCT kwa ushauri.
- 1. Je anakawaida ya kwenda clinic ya kisukari? (Kama ni ndio endelea swali la Pili; Kama ni hapana Endelea na ushauri)
- 2. Je daktari wake amempa msaada gani?
Ushauri:
- Fika haraka hospitali kubwa kama amana au mnazi mmoja, Onana na daktari wa kisukari, ambata na mgojwa wako, Utapatiwa masaada wa haraka.
Ungeweka namba yako hapa nigekuelekeza uende Mlimani City kama uko DSM, kuna ofisi pale unaweza pata dawa za maradhi yote yasiyoambukiza, kama sukari, presure, figo, moyo, pumu, ini, mifupa na joints, waliopooza, nywele kunyonyoka kichwani, kusahau sahau nk.. Ukihitaji nikuelekeze namba yangu hii. 0689605373
Mkuu haraka nenda pale nilipokuelekeza kwa Dr. Abbas hata kesho. Utarudi hapa kuishukuru baadae.Asante sana kwa ushauri wako luwayt ; na simu namba yako nimepokea
Mkuu haraka nenda pale nilipokuelekeza kwa Dr. Abbas hata kesho. Utarudi hapa kuishukuru baadae.
Mola Muumba awajaalie wepesi wewe na mgonjwa wako.
Nlimaansha maoni sio mainiAsante
Kwa niaba ya wana ndugu, nashukuru kwa pole DR HAYA LANDPole Sana mkuu