msaada wa tafsiri ya ndoto hii.

msaada wa tafsiri ya ndoto hii.

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
nimeota kuwa nipo class na wenzangu mwalimu/msimamizi akatuambia who want do survey?and if there's no any body please join to examination room.

mimi binafsi sikuwa na chaguo nikabakia baadae nikaona ndoto imenipeleka sehemu n6je ya chumba tunapanga madawati kwa ajili ya mtihai ila sharti la mtihan6i uwe uchi basi kua mdada mtihani bado yeye akawa kashavua nguo zamani anapanga madawati.

nikaamua kwenda kusali ila wakati naenda kusali nikaona tende,juice.n6ikachukua ten6de n6a kutafuta b5aadae n6ikawa n6aswali ila n6ikawa n6ajiuliza hivi n6avosali n6i sahihi b5asi n6ikashtuka muda ulikuwa saa 9 usiku ila nahc nilikuwa nafanya vitendo vya kusali nikiwa kitandani.

msaada wenu
 
Back
Top Bottom