Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Hapo umewaza kwa kutumia elimu ya mkoloni. Kuna elimu ya kiroho pia.Mkuu vp,
Ndoto zisikupe taabu.
Kuna wakati tulikuwa tukiota tuko shule na unashindwa kujibu mtihani, unakuta mtu anakuambia eti unalogwa mara roho za ukoo, ila ukweli ni kuwa kama unakuta unapitia ugumu na unakosa namna ya kuweza ku solve akili yako ndio inakuta inacheza mapicha hayo usiku, kuonesha kuwa uwezo wako ni mdogo na tatizo ulilonalo.
Mkuu alafu jana tu usiku nilikesha naangalia prison break seson 5Je mdogo wako hakuwa na tattoo ya ramani ya jela mgongoni mwake ?
Mkuu alafu jana tu usiku nilikesha naangalia preson break seson 5Je mdogo wako hakuwa na tattoo ya ramani ya jela mgongoni mwake ?
Jana nimekesha naangalia seson 5Mkuu jitahidi uangalie Prison Break.
Piga story na watu wenye kujua mambo ya sheria.
Jiweke karibu na waliowahi kufungwa wakupe tips.