jamani tumsaidie mwenzetu mambo ya eti picha ni kumzingua EPISODE ina picha?...labda ili asichanganyikiwr na ilo neno nimsaidie kwa njia tofauti na wenzangu ili aelewe,episode ni vipande vya tamtamthilia au hadithi fulani,mfano unapoangalia tamthilia huwa inaanza kwa vipengele tena kwa muda maarumu mpaka mwisho,,sasa hivyo vipart au visehemu ndo Episode na si vinginevyo.Aksante.