Msaada wa tafsiri ya neno episode

Msaada wa tafsiri ya neno episode

episode: tukio katika mfululizo wa matukio

tukio

sehemu ya

muda katika maisha ambapo kitu hususan kilitokea

....inategemea na muktadha (context).
 
Labda ungeweka picha ya episode ingekua raisi kujua ni nn



Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

utafanya nipewe notes na baba mwenye nyumba,
maana nimecheka kwa nguvu wakati saa hizi ni saa saba kasoro usiku yeye amelala!!
 
jamani tumsaidie mwenzetu mambo ya eti picha ni kumzingua EPISODE ina picha?...labda ili asichanganyikiwr na ilo neno nimsaidie kwa njia tofauti na wenzangu ili aelewe,episode ni vipande vya tamtamthilia au hadithi fulani,mfano unapoangalia tamthilia huwa inaanza kwa vipengele tena kwa muda maarumu mpaka mwisho,,sasa hivyo vipart au visehemu ndo Episode na si vinginevyo.Aksante.
 
Back
Top Bottom