Msaada wa tafsiri za ndoto hizi

Msaada wa tafsiri za ndoto hizi

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
3,615
Reaction score
1,805
Habari zenu wakuu najua humu nitapata ushauri or tiba sahihi,

Kuna ndoto usiku wa kumkia Leo imenitesa Sana mpaka saa 11.36 alfajiri nilivyo kuja kumshwa Tena kwakua nilikua nawakela watu kwa kelele za kuwafukuza watu, hii ndoto imejirudia zaidi ya Mara 6 nikisinzia nahamishwa katika uwanja wa mapambano na watu wanaotaka kuniletea madhara, Ila hili lilikua linanitokea nikiwa mdogo sasa naona limeanza Tena hapa nilipo naisi uoga mida hii inavyoenda najua nikilala tu kitanuka mapambano mpaka nwili unauma,

MSAADA JAMANI
 
Ndoto yako ni kali ila sio sana ukihitaji uambiwe ukweli hadi mtu akufahamu . Itakuwa vyema
 
Pambano la jana ulitoka ngap ngap mkuu.
Na Leo umefanya mazoezi ya kutosha kujianda na pambano ?

Naombaa kuwasilisha..
 
Habari zenu wakuu najua humu nitapata ushauri or tiba sahihi,
Kuna ndoto usiku wa kumkia Leo imenitesa Sana mpaka saa 11.36 alfajiri nilivyo kuja kumshwa Tena kwakua nilikua nawakela watu kwa kelele za kuwafukuza watu,hii ndoto imejirudia zaidi ya Mara 6 nikisinzia nahamishwa ktk uwanja wa mapambano na watu wanaotaka kuniletea madhara,Ila hili lilikua linanitokea nikiwa mdogo sasa naona limeanza Tena hapa nilipo naisi uoga mida hii inavyoenda najua nikilala tu kitanuka mapambano mpaka nwili unauma,,MSAADA JAMANI
Shida Hujaelezea Ndoto ila umejielezea Wewe
 
Ulipokuwa mdogo liliishaje na kwa sasa limeanzaje.. Kwa maneno yako ni kama kuna sehemu ya taarifa imeachwa au hujaifikiria lakini ndio majibu yako yalipo
 
Habari zenu wakuu najua humu nitapata ushauri or tiba sahihi,
Kuna ndoto usiku wa kumkia Leo imenitesa Sana mpaka saa 11.36 alfajiri nilivyo kuja kumshwa Tena kwakua nilikua nawakela watu kwa kelele za kuwafukuza watu,hii ndoto imejirudia zaidi ya Mara 6 nikisinzia nahamishwa ktk uwanja wa mapambano na watu wanaotaka kuniletea madhara,Ila hili lilikua linanitokea nikiwa mdogo sasa naona limeanza Tena hapa nilipo naisi uoga mida hii inavyoenda najua nikilala tu kitanuka mapambano mpaka nwili unauma,,MSAADA JAMANI
Nunuwa chumvi ya mawe, mwaga dirishani nyingine ogea, nyingine weka chini ya uvungu au chini ya mto wa kulalia.
 
Back
Top Bottom