Hilo nalo nenoJikabidh kwa yesu Kristo awe bwana na mokoz wako
😂😂🙌🙌🙌Hilo nalo neno
lazima umuamini Mungu kwakila jambo😂😂🙌🙌🙌
Tunaamini kwa kila hali...lazima umuamini Mungu kwakila jambo
Sio ugali tu asile ugali usikuUsile ugali usiku mkuu.
Muwe serious jaman 😂😂😂Pambano la jana ulitoka ngap ngap mkuu.
Na Leo umefanya mazoezi ya kutosha kujianda na pambano ?
Naombaa kuwasilisha..
Shida Hujaelezea Ndoto ila umejielezea WeweHabari zenu wakuu najua humu nitapata ushauri or tiba sahihi,
Kuna ndoto usiku wa kumkia Leo imenitesa Sana mpaka saa 11.36 alfajiri nilivyo kuja kumshwa Tena kwakua nilikua nawakela watu kwa kelele za kuwafukuza watu,hii ndoto imejirudia zaidi ya Mara 6 nikisinzia nahamishwa ktk uwanja wa mapambano na watu wanaotaka kuniletea madhara,Ila hili lilikua linanitokea nikiwa mdogo sasa naona limeanza Tena hapa nilipo naisi uoga mida hii inavyoenda najua nikilala tu kitanuka mapambano mpaka nwili unauma,,MSAADA JAMANI
Nunuwa chumvi ya mawe, mwaga dirishani nyingine ogea, nyingine weka chini ya uvungu au chini ya mto wa kulalia.Habari zenu wakuu najua humu nitapata ushauri or tiba sahihi,